Posts

Showing posts from February, 2024

DALOT

Image
  Uyu jamaa sasa hvi amebadilika sana msimu huu ukimpanga beki wa kulia sawa beki wa kushoto sawa unaupiga mwingi vile vile na majeraha yamemuweka mbali yuko vizur sana msimu huu : Manchester United Swahili

U18

  Vijana wetu wa Reds walishinda 1️⃣7️⃣ bila kufungwa kwenye Ligi Kuu ya U18 kwa ushindi dhidi ya Middlesbrough FC 👏 Manchester United Swahili

MAN UNITED 1-2 FULHAM

Image
  Manchester United wameburuzwa nyumbani kwao Old Trafford dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. FT: Man United 1-2 Fulham ⚽ Bassey 65' ⚽ Iwobi 90+7' ⚽ Maguire 89' FULL TIME: EPL  Aston Villa 4-2 Nottingham Forest Brighton 1-1 Everton Crystal Palace 3-0 Burnley Manchester United Swahili

SIR RATCLIFFE

Image
  Mmiliki mwenza mpya wa Manchester United, Sir Ratcliffe ambaye anamiliki asilimia 27.7 za hisa za klabu hiyo ameelezea msimamo wa Mashetani hao Wekundu kuhusu mshambuliaji Mason Greenwood ambaye anakipiga kwa mkopo Getafe. MASON GREENWOOD "Ni uamuzi mpya kwa upande wetu, yeye ni mchezaji wa Man United na tutaanza mchakato wa kuamua juu ya mustakabali wake" amesema Ratcliffe  "Tunahitaji kuangalia ukweli, kuhukumu kwa haki na kuzingatia maadili ya Man United yanasemaje. Tutajaribu kuelewa ukweli na sio kukurupuka” "Tutatumia maadili kama ni mtu mzuri au la, kama ataweza kucheza kwa dhati kwa ubora, na ikiwa tutafurahia uwepo wake, mashabiki wataridhika naye.. basi tutaona". Manchester United Swahili.

CV ZA WACHEZAJI WA MAN U 2023/2024

  Squad  2023/2024 Appearances  Appearances sorting  sorting Manchester United Goalkeeper Altay Bayındır 1 Altay Bayındır Turkey Turkey 14/04/1998 Tom Heaton 22 Tom Heaton England England 15/04/1986 André Onana 24 André Onana Cameroon Cameroon 02/04/1996 Defender Diogo Dalot 20 Diogo Dalot Portugal Portugal 18/03/1999 Jonny Evans 35 Jonny Evans Northern Ireland Northern Ireland 03/01/1988 Willy Kambwala 53 Willy Kambwala Congo DR Congo DR 25/08/2004 Victor Lindelöf 2 Victor Lindelöf Sweden Sweden 17/07/1994 Harry Maguire 5 Harry Maguire England England 05/03/1993 Tyrell Malacia 12 Tyrell Malacia Netherlands Netherlands 17/08/1999 Lisandro Martínez 6 Lisandro Martínez Argentina Argentina 18/01/1998 Luke Shaw 23 Luke Shaw England England 12/07/1995 Raphaël Varane 19 Raphaël Varane France France 25/04/1993 Aaron Wan-Bissaka 29 Aaron Wan-Bissaka England England 26/11/1997 Midfielder Amad 16 Amad Ivory Coast Ivory Coast 11/07/2002 Sofyan Amrabat 4 Sofyan Amrabat Morocco M...

MECHI ZA MWEZI WA 2/3

Image
Hapa kuna mfumo mzuri wa ratiba ya mechi za Manchester United kulingana na tarehe na wakati wa kuanza (kwa saa za Uingereza): | Tarehe | Wakati | Mechi | |------------|--------|----------------------| | 24/02/2024 | 15:00 | Man Utd vs Fulham | | 02/03/2024 | 15:00 | Man City vs Man Utd | | 09/03/2024 | 15:00 | Man Utd vs Everton | | 16/03/2024 | 15:00 | Man Utd vs Sheffield Utd | | 30/03/2024 | 15:00 | Brentford vs Man Utd | Ahsante