Posts

02/03/2024 MANCHESTER CITY VS MANCHESTER UNITED

  Katika mechi kati ya Manchester City na Manchester United iliyofanyika tarehe 02/03/2024, Manchester City ilishinda dhidi ya Manchester United kwa alama 2-1.  Mech hizo zilikuwa zimevutia sana na zilikuwa na msisimko mkubwa, huku timu zote mbili zikionyesha mchezo mzuri. Hata hivyo, Manchester City ilifanikiwa kuibuka na ushindi mwishoni mwa mechi.  Matokeo hayo yalikuwa ni sehemu ya historia ya Derby ya Manchester na yaliendeleza msisimko na ushindani kati ya timu hizo mbili. Manchester United Swahili

MANCHESTER DERBY

Image
  Kuhusu mechi kati ya Manchester United na Manchester City inayotarajiwa kufanyika kesho, tarehe 02/03/2024: šŸ”„Mechi: Manchester City vs Manchester United šŸ”„ Tarehe: 02/03/2024 šŸ”„ Wakati: 15:00 (Saa za Uingereza) šŸ”„Maelezo ya Mechi: Mechi hii inatarajiwa kuwa moja ya mikiki mikali zaidi katika kalenda ya soka ya Manchester. Derby ya Manchester kati ya Manchester City na Manchester United ni moja ya mechi maarufu zaidi ulimwenguni, ikileta hamasa, msisimko, na ushindani mkubwa kila wakati. šŸ”„Hali ya Timu: - Manchester City: Timu ya Pep Guardiola inaonekana kuwa katika fomu bora, na kujenga msingi imara wa mafanikio msimu huu. Wana kikosi cha wachezaji wenye uwezo mkubwa na mbinu bora za kushambulia na kulinda. - Manchester United: Chini ya uongozi wa kocha wao mpya, Manchester United imekuwa ikifanya vyema, ingawa wanakabiliwa na changamoto za kustawi kikamilifu. Hata hivyo, Derby ya Manchester huwa motisha ya pekee kwa timu hii kufanya vizuri. šŸ”„Matarajio: Mechi hii inatarajiwa ku...

DALOT

Image
  Uyu jamaa sasa hvi amebadilika sana msimu huu ukimpanga beki wa kulia sawa beki wa kushoto sawa unaupiga mwingi vile vile na majeraha yamemuweka mbali yuko vizur sana msimu huu : Manchester United Swahili

U18

  Vijana wetu wa Reds walishinda 1️⃣7️⃣ bila kufungwa kwenye Ligi Kuu ya U18 kwa ushindi dhidi ya Middlesbrough FC šŸ‘ Manchester United Swahili

MAN UNITED 1-2 FULHAM

Image
  Manchester United wameburuzwa nyumbani kwao Old Trafford dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. FT: Man United 1-2 Fulham ⚽ Bassey 65' ⚽ Iwobi 90+7' ⚽ Maguire 89' FULL TIME: EPL  Aston Villa 4-2 Nottingham Forest Brighton 1-1 Everton Crystal Palace 3-0 Burnley Manchester United Swahili

SIR RATCLIFFE

Image
  Mmiliki mwenza mpya wa Manchester United, Sir Ratcliffe ambaye anamiliki asilimia 27.7 za hisa za klabu hiyo ameelezea msimamo wa Mashetani hao Wekundu kuhusu mshambuliaji Mason Greenwood ambaye anakipiga kwa mkopo Getafe. MASON GREENWOOD "Ni uamuzi mpya kwa upande wetu, yeye ni mchezaji wa Man United na tutaanza mchakato wa kuamua juu ya mustakabali wake" amesema Ratcliffe  "Tunahitaji kuangalia ukweli, kuhukumu kwa haki na kuzingatia maadili ya Man United yanasemaje. Tutajaribu kuelewa ukweli na sio kukurupuka” "Tutatumia maadili kama ni mtu mzuri au la, kama ataweza kucheza kwa dhati kwa ubora, na ikiwa tutafurahia uwepo wake, mashabiki wataridhika naye.. basi tutaona". Manchester United Swahili.

CV ZA WACHEZAJI WA MAN U 2023/2024

  Squad  2023/2024 Appearances  Appearances sorting  sorting Manchester United Goalkeeper Altay Bayındır 1 Altay Bayındır Turkey Turkey 14/04/1998 Tom Heaton 22 Tom Heaton England England 15/04/1986 AndrĆ© Onana 24 AndrĆ© Onana Cameroon Cameroon 02/04/1996 Defender Diogo Dalot 20 Diogo Dalot Portugal Portugal 18/03/1999 Jonny Evans 35 Jonny Evans Northern Ireland Northern Ireland 03/01/1988 Willy Kambwala 53 Willy Kambwala Congo DR Congo DR 25/08/2004 Victor Lindelƶf 2 Victor Lindelƶf Sweden Sweden 17/07/1994 Harry Maguire 5 Harry Maguire England England 05/03/1993 Tyrell Malacia 12 Tyrell Malacia Netherlands Netherlands 17/08/1999 Lisandro MartĆ­nez 6 Lisandro MartĆ­nez Argentina Argentina 18/01/1998 Luke Shaw 23 Luke Shaw England England 12/07/1995 RaphaĆ«l Varane 19 RaphaĆ«l Varane France France 25/04/1993 Aaron Wan-Bissaka 29 Aaron Wan-Bissaka England England 26/11/1997 Midfielder Amad 16 Amad Ivory Coast Ivory Coast 11/07/2002 Sofyan Amrabat 4 Sofyan Amrabat Morocco M...